Yohane 5:4 BHN

4 maana mara kwa mara malaika alishuka majini nyakati fulani na kuyatibua. Mtu yeyote aliyekuwa wa kwanza kuingia majini baada ya maji kutibuliwa, alipona ugonjwa wowote aliokuwa nao.]

Kusoma sura kamili Yohane 5

Mtazamo Yohane 5:4 katika mazingira