Yohane 5:43 BHN

43 Mimi nimekuja kwa mamlaka ya Baba yangu, lakini hamnipokei; bali mtu mwingine akija kwa mamlaka yake mwenyewe, mtampokea.

Kusoma sura kamili Yohane 5

Mtazamo Yohane 5:43 katika mazingira