Yohane 5:6 BHN

6 Naye alipomwona huyo mtu amelala hapo na kujua kwamba alikuwa amekaa hapo kwa muda mrefu, akamwuliza, “Je, wataka kupona?”

Kusoma sura kamili Yohane 5

Mtazamo Yohane 5:6 katika mazingira