19 Wanafunzi walipokuwa wamekwenda umbali wa kilomita tano au sita, walimwona Yesu akitembea juu ya maji, anakaribia mashua; wakaogopa sana.
Kusoma sura kamili Yohane 6
Mtazamo Yohane 6:19 katika mazingira