24 Basi, hao watu walipogundua kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo, walipanda mashua, wakaenda Kafarnaumu wakimtafuta.
Kusoma sura kamili Yohane 6
Mtazamo Yohane 6:24 katika mazingira