Yohane 6:27 BHN

27 Msikishughulikie chakula kiharibikacho; kishughulikieni chakula kidumucho kwa ajili ya uhai wa milele. Mwana wa Mtu ambaye Baba amemthibitisha atawapeni chakula hicho.”

Kusoma sura kamili Yohane 6

Mtazamo Yohane 6:27 katika mazingira