57 Baba aliye hai alinituma, nami naishi kwa sababu yake; vivyo hivyo anilaye mimi ataishi pia kwa sababu yangu.
Kusoma sura kamili Yohane 6
Mtazamo Yohane 6:57 katika mazingira