Yohane 6:70 BHN

70 Yesu akawaambia, “Je, sikuwachagua nyinyi kumi na wawili? Hata hivyo, mmoja wenu ni Ibilisi!”

Kusoma sura kamili Yohane 6

Mtazamo Yohane 6:70 katika mazingira