1 Baada ya hayo, Yesu alikuwa akitembea huko Galilaya. Hakutaka kutembea mkoani Yudea kwa sababu viongozi wa Wayahudi walikuwa wanataka kumuua.
Kusoma sura kamili Yohane 7
Mtazamo Yohane 7:1 katika mazingira