Yohane 7:10 BHN

10 Baada ya ndugu zake kwenda kwenye sikukuu, Yesu naye alikwenda, lakini hakuenda kwa hadhara bali kwa siri.

Kusoma sura kamili Yohane 7

Mtazamo Yohane 7:10 katika mazingira