Yohane 7:12 BHN

12 Kulikuwa na minongono mingi katika umati wa watu. Baadhi yao walisema, “Ni mtu mwema.” Wengine walisema, “La! Anawapotosha watu.”

Kusoma sura kamili Yohane 7

Mtazamo Yohane 7:12 katika mazingira