26 Tazameni sasa! Anawaonya hadharani, wala hakuna mtu anayemwambia hata neno. Je, yawezekana kuwa viongozi wametambua kweli kwamba huyu ndiye Kristo?
Kusoma sura kamili Yohane 7
Mtazamo Yohane 7:26 katika mazingira