Yohane 7:35 BHN

35 Viongozi wa Wayahudi wakasema wao kwa wao, “Mtu huyu atakwenda wapi ambapo hatutaweza kumpata? Atakwenda kwa Wayahudi waliotawanyika kati ya Wagiriki, na kuwafundisha Wagiriki?

Kusoma sura kamili Yohane 7

Mtazamo Yohane 7:35 katika mazingira