Yohane 7:39 BHN

39 (Alisema hayo kumhusu Roho ambaye wale waliomwamini yeye watampokea. Wakati huo Roho alikuwa hajafika kwa sababu Yesu alikuwa hajatukuzwa bado).

Kusoma sura kamili Yohane 7

Mtazamo Yohane 7:39 katika mazingira