Yohane 8:11 BHN

11 Huyo mwanamke akamjibu, “Bwana, hakuna hata mmoja!” Naye Yesu akamwambia, “Wala mimi sikuhukumu. Nenda zako; na tangu sasa usitende dhambi tena.”]

Kusoma sura kamili Yohane 8

Mtazamo Yohane 8:11 katika mazingira