19 Hapo wakamwuliza, “Baba yako yuko wapi?” Yesu akawajibu, “Nyinyi hamnijui mimi wala hammjui Baba. Kama mngenijua mimi, mngemjua na Baba yangu pia.”
Kusoma sura kamili Yohane 8
Mtazamo Yohane 8:19 katika mazingira