Yohane 8:46 BHN

46 Nani kati yenu awezaye kuthibitisha kuwa mimi nina dhambi? Ikiwa basi nasema ukweli, kwa nini hamniamini?

Kusoma sura kamili Yohane 8

Mtazamo Yohane 8:46 katika mazingira