Yohane 8:55 BHN

55 Nyinyi hamjapata kumjua, lakini mimi namjua. Na, nikisema simjui, nitakuwa mwongo kama nyinyi. Mimi namjua na ninashika neno lake.

Kusoma sura kamili Yohane 8

Mtazamo Yohane 8:55 katika mazingira