Yohane 9:27 BHN

27 Huyo mtu akawajibu, “Nimekwisha waambieni, nanyi hamkusikiliza; kwa nini mwataka kusikia tena? Je, nyinyi pia mnataka kuwa wafuasi wake?”

Kusoma sura kamili Yohane 9

Mtazamo Yohane 9:27 katika mazingira