Yohane 9:3 BHN

3 Yesu akajibu, “Jambo hili halikutukia kwa sababu ya dhambi zake yeye, wala dhambi za wazazi wake; ila alizaliwa kipofu ili nguvu ya Mungu ionekane ikifanya kazi ndani yake.

Kusoma sura kamili Yohane 9

Mtazamo Yohane 9:3 katika mazingira