Yuda 1:16 BHN

16 Watu hawa hunung'unika daima, hulalamika, hufuata tamaa zao mbaya, hujigamba na kuwasifu watu wengine mno kwa faida yao wenyewe.

Kusoma sura kamili Yuda 1

Mtazamo Yuda 1:16 katika mazingira