1 Wafalme 12:9 BHN

9 Basi, akawauliza, “Nyinyi mnatoa shauri gani ili tuweze kuwajibu watu hawa walioniambia niwapunguzie mzigo ambao baba yangu aliwatwika?”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 12

Mtazamo 1 Wafalme 12:9 katika mazingira