1 Wafalme 13:1 BHN

1 Siku moja Yeroboamu alikuwa amesimama kando ya madhabahu ili afukize ubani. Basi, mtu wa Mungu kutoka Yuda akawasili hapo Betheli na ujumbe wa Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:1 katika mazingira