1 Wafalme 13:14 BHN

14 Akamfuata yule mtu wa Mungu, akamkuta ameketi chini ya mti wa mwaloni. Basi, akamwuliza, “Je, wewe ndiwe yule mtu wa Mungu kutoka Yuda?” Naye akamjibu, “Naam! Mimi ndiye.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:14 katika mazingira