1 Wafalme 13:18 BHN

18 Huyo mzee wa Betheli akamwambia, “Mimi pia ni nabii kama wewe, na Mwenyezi-Mungu amenena nami kwa njia ya malaika akisema, ‘Mrudishe nyumbani kwako, ale chakula na kunywa maji.’” Lakini huyo nabii mzee alikuwa anamdanganya tu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:18 katika mazingira