1 Wafalme 13:7 BHN

7 Ndipo mfalme akamwambia mtu wa Mungu, “Karibu nyumbani kwangu kula chakula, nami nikupe zawadi.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:7 katika mazingira