1 Wafalme 15:13 BHN

13 Alimvua Maaka, mama yake, cheo chake cha mama malkia, kwa sababu alitengeneza sanamu ya Ashera, mungu wa kike, na hiyo sanamu akaivunjavunja na kuiteketeza kwenye bonde la Kidroni.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:13 katika mazingira