1 Wafalme 15:15 BHN

15 Alirudisha nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu vyombo vyote vilivyokuwa vimewekwa wakfu na baba yake, pamoja na vile vyake yeye mwenyewe: Vyombo vya fedha, dhahabu na vyombo vinginevyo.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:15 katika mazingira