1 Wafalme 15:18 BHN

18 Ndipo mfalme Asa akachukua fedha na dhahabu yote iliyobaki katika hazina ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu na katika hazina ya ikulu, akawapa watumishi wake, akawatuma Damasko kwa Ben-hadadi mwana wa Tabrimoni, mjukuu wa Hezioni, mfalme wa Aramu, akasema,

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:18 katika mazingira