1 Wafalme 15:20 BHN

20 Hapo mfalme Ben-hadadi akakubali pendekezo la mfalme Asa, akawatuma majemadari wake na majeshi yake kwenda kuishambulia miji ya Israeli. Nao wakateka Iyoni, Dani, Abel-beth-maaka, Kinerethi yote, na nchi yote ya Naftali.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:20 katika mazingira