1 Wafalme 15:23 BHN

23 Matendo mengine yote ya Asa, ushujaa wake na miji yote aliyoijenga, yote yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati ya Wafalme wa Yuda. Lakini, wakati wa uzee wake, Asa alishikwa na ugonjwa wa miguu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:23 katika mazingira