1 Wafalme 15:27 BHN

27 Baasha mwana wa Ahiya, wa kabila la Isakari, akala njama dhidi ya Nadabu. Basi, wakati Nadabu na jeshi lake walipokuwa wameuzingira mji wa Gibethoni wa Wafilisti, Baasha akamvamia na kumwua,

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:27 katika mazingira