1 Wafalme 18:1 BHN

1 Ikawa baada ya siku nyingi, mnamo mwaka wa tatu wa ukame, neno hili la Mwenyezi-Mungu likamjia Elia: “Nenda ukajioneshe kwa mfalme Ahabu, halafu nitanyesha mvua nchini.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:1 katika mazingira