1 Wafalme 18:10 BHN

10 Nakuapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wako aliye hai, kwamba mfalme amekuwa akikutafuta duniani kote. Na mfalme yeyote akisema kwamba hujaonekana huko, Ahabu alimtaka huyo mfalme aape na watu wake kwamba kweli hupo.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:10 katika mazingira