1 Wafalme 18:13 BHN

13 Je, huna habari kwamba Yezebeli alipokuwa akiwaua manabii wa Mwenyezi-Mungu, mimi niliwaficha manabii 100, watu hamsinihamsini pangoni, nikawa nawapa chakula na maji?

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:13 katika mazingira