1 Wafalme 18:21 BHN

21 Kisha, Elia akawakaribia watu hao, akawaambia, “Mtasitasita na kuyumbayumba mioyoni mpaka lini? Ikiwa Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu mfuateni; lakini ikiwa Baali ni Mungu, basi, mfuateni yeye.” Lakini watu hawakumjibu neno lolote.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:21 katika mazingira