1 Wafalme 18:23 BHN

23 Haya! Leteni fahali wawili; manabii wa Baali wajichagulie fahali mmoja, wamchinje, wamkate vipandevipande na kumweka juu ya kuni, bila kuwasha moto. Nami pia nitamtwaa huyo fahali mwingine, nitamchinja na kumweka juu ya kuni bila kuwasha moto.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:23 katika mazingira