1 Wafalme 18:25 BHN

25 Kisha, Elia akawaambia manabii wa Baali, “Nyinyi ni wengi; basi anzeni. Jichagulieni fahali, mtayarisheni na kumwomba mungu wenu, lakini msiwashe moto.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:25 katika mazingira