1 Wafalme 18:27 BHN

27 Ilipofika saa sita mchana, Elia akaanza kuwadhihaki akisema, “Ombeni kwa sauti kubwa zaidi! Yeye ni mungu ati! Huenda ikawa amezama katika mawazo yake, amekwenda haja, au yumo safarini! Labda amelala, mnapaswa kumwamsha!”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:27 katika mazingira