1 Wafalme 18:4 BHN

4 na wakati Yezebeli alipowaua manabii wa Mwenyezi-Mungu, Obadia aliwachukua manabii 100, akawaficha hamsinihamsini pangoni, akawa anawapelekea chakula na maji).

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:4 katika mazingira