7 Obadia alipokuwa njiani, alikutana na Elia; naye Obadia alipomtambua Elia, aliinama chini na kusema, “Kumbe! Ni wewe bwana wangu Elia?”
Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18
Mtazamo 1 Wafalme 18:7 katika mazingira