1 Wafalme 19:2 BHN

2 Yezebeli akatuma mjumbe kwa Elia amwambie: “Miungu waniulie mbali, nakuapia, ikiwa saa hizi kesho sitakuwa nimekufanya kama mmoja wa hao manabii.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 19

Mtazamo 1 Wafalme 19:2 katika mazingira