11 Alikuwa ametawala Israeli kwa muda wa miaka arubaini; miaka saba akiwa Hebroni, na miaka thelathini na mitatu akiwa Yerusalemu.
Kusoma sura kamili 1 Wafalme 2
Mtazamo 1 Wafalme 2:11 katika mazingira