12 basi, sasa nakutimizia kama ulivyoomba. Tazama, nakupa hekima na akili kiasi ambacho hapana mtu mwingine aliyepata kuwa nacho kabla yako, na wala hatatokea mwingine kama wewe baada yako.
Kusoma sura kamili 1 Wafalme 3
Mtazamo 1 Wafalme 3:12 katika mazingira