1 Wafalme 3:7 BHN

7 Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, umeniweka mimi mtumishi wako kuwa mfalme mahali pa baba yangu Daudi, ijapokuwa ningali mtoto mdogo na sijui namna ya kutekeleza wajibu huu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 3

Mtazamo 1 Wafalme 3:7 katika mazingira