2 Samueli 1:15 BHN

15 Kisha, Daudi akamwita mmoja wa vijana wake akamwambia, “Muue mtu huyu!” Yule kijana alimpiga yule Mmaleki, naye akafa.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 1

Mtazamo 2 Samueli 1:15 katika mazingira