2 Samueli 1:16 BHN

16 Daudi akasema, “Uwajibike wewe mwenyewe kwa kifo chako, maana umejishuhudia wewe mwenyewe kwa mdomo wako ukisema, ‘Nimemuua mtu aliyeteuliwa na Mwenyezi-Mungu kwa kupakwa mafuta.’”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 1

Mtazamo 2 Samueli 1:16 katika mazingira