4 Basi, Hanuni aliwachukua wajumbe hao wa Daudi akamnyoa kila mmoja nusu ya ndevu zake, akayapasua mavazi yao katikati mpaka matakoni, kisha akawaacha waende zao.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 10
Mtazamo 2 Samueli 10:4 katika mazingira