2 Samueli 10:5 BHN

5 Waliona aibu mno kurudi nyumbani. Daudi alipopashwa habari alituma watu kuwalaki kwani hao wajumbe waliona aibu sana. Naye mfalme aliwaambia, “Kaeni mjini Yeriko, hata mtakapoota ndevu, kisha mrudi nyumbani.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 10

Mtazamo 2 Samueli 10:5 katika mazingira