2 Samueli 11:1 BHN

1 Hata ikawa katika mwanzo wa mwaka mpya, wakati ambapo wafalme huenda vitani, Daudi alimtuma Yoabu na maofisa wake pamoja na Waisraeli wote kupigana; nao waliteka nyara Waamoni na kuuzingira mji wa Raba. Lakini Daudi alibaki Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 11

Mtazamo 2 Samueli 11:1 katika mazingira